Swahili is an interpreted procedural language built to assist Swahili-speaking learners grasp programming concepts. It is still in its infancy with its first version (v1.0.0) set for release in March of 2021.
Swahili ni lugha ya programmu iliyojengwa kuwasaidia wanafunzi wanaozungumza Swahili kuelewa dhana za kuandika programmu. Lugha yenyewe bado ni changa na toleo lake la kwanza (v1.0.0) litatolewa Machi ya 2021.